Sunday, March 11, 2007

correspondence

Asante sana kwa email yako, ninapenda kusoma habari ya kenya na wewe! Habari yako? Habari ya SIT? Niko nyumba yangu katika mji wa Seattle, kuna mvuaa nyingi lakini ninaipenda. Kila kitu ni sawa sawa hapa. Baba na Mama yangu ni sawa, baba anaandika kitabu na mama anapenda kusoma. Sasa ni mapumzika (is that correct kiswahili?), nitapumzika kwa wiki moja, halafu nitarudi chuo kiku changu katika California. Nina swali kaka. Ikiwa ninataka kupeleka barua, bahasha ao vitabu kwa rafiki zangu katika kenya nitafanya nini? Ninataka kupeleka barua ao bahasha kwa familia yako katika Mombasa (my old homestay family), lakini sina address wao. Nitauliza Danny pia.
I hope you are fine na kila kitu ni sawa. I miss you kaka, I miss you very much. I saw a photo of you yesterday, it made me want to come back to Mombasa soon. miss you and say hujambo to Athman, Ali and Tima!

No comments: