Wednesday, February 14, 2007
correspondence
sema, habari yako? habari ya Mombasa na familia yako? Ninafurahi kwamba wanafunzi ni wazuri, ninaarithi kuwa pale! Kilakitu ni sawa sawa hapa. Nina kazi NYINGI!!!!!!! Ninahitaji kusoma vitabu vyingi lakini ninafurahi kwa sababu ninapenda kusoma. Ninafanya kazi kwa gazeti (newspaper) hapa kwa hivyo ninaandika reports. Ninapenda kufanya kazi, my friends say I need to have more fun. Ninakukosa kaka! Happy Valentine's Day!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment